njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Nasema hivi, shukrani kwa ccm mlipotufikisha ,asanteni sana naamini bado mna nguvu ya kuendesha nchi hii hata kwa miaka 100 ijayo ILA NYIE CCM, ACT NA CHADEMA MNAKERA SANA
Wengine siyo washabiki wa siasa ila haya makarateee niliyoanza kuyaona yanakera MNABOA SANA. sikilizeni nyie jamaa Hii Tanzania wengine tunaipenda kuliko hata nyie, siyo chadema siyo ccm mko huko kwa ajili ya matumbo yenu tu wengine mlikuwa wembamba siku hizi mnapasuka tu kwa mabia na makitimoto na maburger ya kufa mtu mnayokula kwa kodi zetu
Hii ni kwenu wote, CCM, ACT na CHADEMA, mnaboa sana wengine hapa tunahangaika na mavitabu mengine sijui yanahusu Tanzania tunaitetea kwa hali na mali lakini naona kuna machizi wana AGENDA ZAO embu nijaribu kumsikiliza mzee Rungwe labda ana sera mbadala.
Haiwezekani nikazaliwa kwenye nchi ambayo mlima kilimnanjaro kuna pete ya mfalme suleimani,ambapo kuna wafia dini wanabishana kama safina ya nuhu iligota ethiopia,mlima ararat uturuki au mlima meru Arusha,nchi ambayo kuna wana dini wanaapa kwamba bustani ya eden ipo Ngorongoro na siyo Iraq katikati ya mito ya Tigris na Eupharates.
Mwezi huu nasikia kauli za kishenzi toka kwa CCM, ACT NA CHADEMA mnaboa sana. Kesho natupia PDF documents kuhusu the beauty na importance ya Tanzania, ukihitaji pdf materials nicheki inbox