Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Askari ulipotea wapi mzaziAtakae mtaja wangu naishi nae kininja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Askari ulipotea wapi mzaziAtakae mtaja wangu naishi nae kininja
Hahahaha hunter acha tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]kwa nini hunter
Dah! Noah nyeupeAskari ulipotea wapi mzazi
Sikukuona maana mimi ni dereva wa hiyo Noah nyeupe captain.Dah! Noah nyeupe
Acha tu askari msingi nipo hai Nita deal nayoSikukuona maana mimi ni dereva wa hiyo Noah nyeupe captain.
Mimi na kapeace wangu wangu.Kama umeokoka katika ajali ya meli baharini Na ukajikuta upo katika kisiwa Na humo melini umeokoka wewe wanaume wengine watatu, Na warembo hawa baada ya miaka mitano ya kusubiri bila matumaini ya uokoaji,mnaamua kuanza maisha mapya kisiwani hapo kwa kuendesha shughuli za kilimo Na uvuvi Na uwindaji in short mmeanza maisha ya ujima(communalism)
Kuna wanawake wafuatao utamchagua yupi uzaa nae Na kuanzisha familia Na utamtongoza kwa maneno yapi akukubali!
Joanal
Demi
Mbitiyaza
Sakayo
Emmyta
Sky eclat
Shunie
Carba
Stable woman
Miss natafuta
Heaven on earth
Neybright
Mumu
Cocochanel
Kapeace
Linamo
Tomosa
Niko hapa albuu, nikatie tiketi kabisa maana nafasi ni chacheMimi na kapeace wangu wangu.
Basi hapa kamoyo kananienda mbioooo[emoji3] [emoji8] [emoji7]Niko hapa albuu, nikatie tiketi kabisa maana nafasi ni chache
Wahi nafasi sasaBasi hapa kamoyo kananienda mbioooo[emoji3] [emoji8] [emoji7]
Haya sawa hunterHahahaha hunter acha tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mm nishawahi nafasi labda ww uiondoe.Wahi nafasi sasa
Haya Poa ngoja tuisubiri ajali basiMm nishawahi nafasi labda ww uiondoe.
Kumbe mpk itokee ajali abiria waanguke[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]Haya Poa ngoja tuisubiri ajali basi