Utapeli Kariakoo: Kuna tofauti kubwa sana kati ya kusoma na kuwa na akili nyingi. Kuna watu waliishia darasa la saba (7) tu kwa sababu ya umasikini

Rais Magufuli anafanya kazi kubwa wazo la kumuongezea muda ni wazo zuri sana.
 
Sana kunawadau wanatengeneza vinu vya machine balaaa, mechanical engineering holder akasome!
Anaweza kupiga hesabu za efficient za hivyo vinu,mechanical advantage, input vs output vs energy consumption. What about power of a machine, what about life span of a machine.Kuunga mabati na kuunda machine ni vitu viwili tofauti.Darasa la saba huwa wanajitutumua sana ndio maana wanajaribu vitu wasivyokuwa na uwezo navyo na Mara zote huwa havifiki popote.Kuunda machine ni kama Uhunzi tu ila utendaji wa machine ni zaidi ya uhunzi.
 
Utapewa karatasi ya kura hakikisha unampa vema Magufuli na Ccm.
 
Hujakutana na wezi wewe. Umekutana na vibaka tu.
 
Mimi almanusura nipendekeze uharibifu wa bomba la ofisi baada ya fundi mmoja kutajwa kwamba ndio fundi na kumpa kazi ya maji yanayovuja yeye akasema vifaa hivyo vinapatikana DSM.
bahati nzuri nikasema ngoja nilinganishe bei,nika mtafuta fundi mwengine kufika yeye akasema maji hayavuji isipokuwa bomba limefungwa mbele na kufanya maji yatafute sehemu ya kutoka.
Akashauri tufungulie njia zote na tusubirie kwa wiki nzima tuone kama maji yatavuja.
baada ya zoezi hilo yaani wiki moja tukaona maji hayavuji popote.
Yule fundi mtajwa tajwa nilimpotezea na huyu std 7 mpaka leo amekuwa kama ndugu yangu.
 
Ma-genius wengi darasa la saba wamejaa huuukooo vijijini ndani ndani Mchombe, Mngeta, Kotako, Ulanga, Mahenge, Epanko, Luli, Malinyi.
Dah umetaja maeneo hayo dah niliwahi sajili sana laini za simu huko, Mngeta, Luli n.k Epanko kijiji fulani bondeni ukitoka ulanga mjini niliwahi fanya kazi ya uthaminishaji ardhi pia 2016 asante sana kwa kumbukumbu nzuri
 
Mimi almanusura nipendekeze uharibifu wa bomba la ofisi baada ya fundi mmoja kutajwa kwamba ndio fundi na kumpa kazi ya maji yanayovuja yeye akasema vifaa hivyo vinapatikana DSM.
Duuuh pole sana mkuu...
 
Magufuli ndio mwamba na vijana wanamuita Baba lao.
 
hii n kweli mzee. nshawahi kuliwa elfu 60 yangu. ilikua n wale wanaweka matrubai afu wanaweka matv laptop pikipik nk. afu wana vikadi vina namba wanakupa uotee. wakat nafika pale nilijisemea kabisa hawa n matapeli SITATOA hata mia. lakn nlipotia jicho langu pale akili ilikuja kurudi wallet yangu ikiwa inasoma O.
 
Ushauri: Ukiwa mjini kuwa makini na lililokupeleka.. acha kushangaa ama kuhangaika na yasiyo kuhusu.
wale wahun wakikuona unageuka geuka kulia na kushoto wanajua ww akili yako haijatulia kwa hyo n rahs kukufanyia undava
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…