Utapeli Kariakoo: Kuna tofauti kubwa sana kati ya kusoma na kuwa na akili nyingi. Kuna watu waliishia darasa la saba (7) tu kwa sababu ya umasikini

Mkuu utafiti umefanyika, km Uchaguzi utafanyika kesho tayari Rais Magufuli anashinda kwa 99%.
 
Wageni karibuni Tanzania chini ya Mzalendo Magufuli.
 
Amka ndotoni Mkuu Kwa hii CCM ya Magufuli, Wapinzani hata wangeungana na jublee ya Kenyatta Ccm ushindi ni 98%.
 
Tumpongeze Rais Magufuli kwa kutupeleka uchumi wa kati.
 
Wengine wanatumia uchawi. Miaka ya 90 nilikwenda kubadili dola, ile nafika bureau de change, nikadakwa na hao wezi wakinipa rate ya juu kuliko ile ya dukani. Nikawakubalia, nikahesabu pesa ziko sawa, kwa noti mchanganyiko ila nyingi za 10,000. Nimeondoka hilo eneo nafika sehemu nifanye manunuzi, zile noti hamna hata moja ya 10,000 kama nilivyoona wakati nahakiki. Zimebadilika, au sijui macho na akili yangu ndio zimezibadili zote na kuwa za 2,000. Narudi lile eneo kila unayemuuliza anadai hajawahi kumuona mtu ninamyemtafuta.
 
Wengi sana wameuziwa sabuni, binafsi hiyo miaka ya 2005- 2010 jamaa ninaowafahamu waliuziwa miche ya sabuni
Mimi alikwamaga mmoja, alitaka kuniuzia mche ila katika exchange mi nikakomaa na bidhaa halisi wakati yeye alitaka nimkabidhi anihifadhie baadae akaona nimeshamshtukia akagoma kufanya biashara na mimi akadai simu yake nikampa akasepa akilalamika kuwa sijui biashara
 
Wanaakili lakini akili zao hazitumiki sehemu sahihi
 
Hoja hii haiwahusu wezi tu pekee hii ni hoja pana inawahusu darasa la 7 wote ambao wako smartupstairs kuna darasa la 7 wanakwenda mpaka china na wanafanya biashara Na wamefanikiwa sana katika hiyo sekta
 
Hii kauli ya ma genius wengi sijui wapo vijijini ni ujinga mkubwa, na kujipa moyo tu kwa sababu effect yao kwa jamii haionekani ni heri hata wale waliosoma unaweza kusema mwisho wa siku watafanya research,survey na projects ambazo zina impact kwa kiwango fulani kwenye jamii.

Ukiangalia kwa nchi zilizo endelea hasa huko ulaya na asia mfano china, russia japan n.k ma genius na smart peoples ni problem solvers si hawa wa bongo mnaowapa promo bila impact yoyote kwa jamii .

N.b
Ili uwe genius unatakiwa uwe na iq (intelligence quotient) ya zaidi ya 140
Means kuanzia 150.
 
Ukienda Mwanza kuna Baraza la wanywa kahawa mabatini (BAKAMA)

Pale Kuna darasa la saba kibao ambao wapo vizuri upstairs....

Bakama Ni moja ya sehemu inayo amua Nani awe mwakilishi wa wananchi wa nyamagana

Cc. Wilson shukur mnyamwezi
 
huko Huwa wanawaliza vip?πŸ˜‚
Wanapanga muuza shamba kibabu, mashahidi, mpaka mkiti feki, unanunua eneo kumbe mashamba makubwa yana namba ni ya makabaila, kina Jitu Patel, Al-Saedy, Islam n.k. au unanunua shamba kiangazi kumbe ni bwawa msimu wa mvua au seasonal mto kabisaa.😝

Au mnauziwa shamba 1 watu watatu, wewe unaingiza trekta, ukirudi unakuta mtu kishapanda.πŸ˜€

Everyday is Saturday................................ 😎
 
Daaah hii kiboko mkuu...
 
Kweli mwamba kiushujaa ukachukua kipande chako ukafulia nguo
 
Magufuli hawezi kuuza Nchi ni Mzalendo haswa Usimfananishe na wale waliotumwa na Wazungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…