Utapeli kwa njia ya simu

Utapeli kwa njia ya simu

mito

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2011
Posts
10,682
Reaction score
10,801
Jamani hivi mbona mimi sijaona umuhimu wa zoezi la usajiri wa namba za simu? manake kila kukicha watu wanatapeliwa, wanaibiwa tu bila wahusika kukamatwa? Hii wizara ya kina makamba na tume ya mawasiliano, police n.k wameshindwa kudhibiti huu utapeli/wizi? mbona tuliambiwa usajili wa simu unalenga kudhibiti vitendo hivi pamoja na hayo mambo sijui ya kutukanana kwenye simu, kutumiana sms za matusi na vitisho n.k?



mods sijui kama nimepost jukwaa husika, mkiona vipi mnaweza kuhamisha
 
Until kuna proper identification system kwenye nchi hii hakuna lolote litakalofanyika. Kuanzia serikali ya mtaalamu hadi ikulu. Mtaani kwa elf 5 tu unachukua baru a ya utambulisho wa ukase kwa jail ya mtu aliyepo kazini. Hata Kama nni msomali haijalishi. Na vitambulisho vyenyewe ni kizungumkuti.
 
Ylizia labda usalama wa taifa wale wa ulimboka
 
Back
Top Bottom