hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 13,628
- 20,992
- Thread starter
- #41
ANZA NA SHARIFU MAJINISiku zote kufuata dini bila elimu ndio madhara yake hayo. Ukristo ni dini isiyo na elimu, hakuna msingi wowote mtu anapaswa asome ili afanye ibada yake ipasavyo. Ndio maana wanaishia kukufuru, kutapeliwa kirahisi kuliko dini/imani zingine ambazo ndani yake kusoma dini na kufanya ibada ni lazima. Alhamdulillah uislamu umetupilia mbali shuhba hizo na hata akijitokeza mjinga akajaribu kudanganya watu basi hupotea haraka maana baatwil haidumu. Karibu katika dini ya haki achaneni ni kufru hizo.