Private investigator
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 303
- 287
Wamegundua watu mnabetia mizizi...! Kila ukibet unakula, hujikoseshi walau hata mara moja!Ukishinda hawalipi, namba za msaada zinafungwa kana kwamba ziko bize 24 inaongea na mteja. Wasumbufu kulipa.
Hawabetishi kwa mkopo Ila hela yako ukishinda wanakukopa. Nawadai 567,458.12 siku ya nne Leo.