Utapeli m-bet

Utapeli m-bet

Uchumi umeyumba kila kona nchi hii.
Mwee jamani tutanyoka.
 
Sportpesa ndio yenyewe hawa jama hata mimi washanizika
 
0762768500
0758833333
0673152715
0673152815
0689749999
0689755999
Hizo ndo huduma kwa wateja. Ukipiga ukapokelewa nidai 50,000 tsh
 
Ukishinda hawalipi, namba za msaada zinafungwa kana kwamba ziko bize 24 inaongea na mteja. Wasumbufu kulipa.
Hawabetishi kwa mkopo Ila hela yako ukishinda wanakukopa. Nawadai 567,458.12 siku ya nne Leo.
Wamegundua watu mnabetia mizizi...! Kila ukibet unakula, hujikoseshi walau hata mara moja!
 
Hamia Meridian au Sportpesa mkuu.
 
Hama kampuni tu mkuu.
Subiri chako utembelee makampuni mengine
 
Back
Top Bottom