Habar wana jf,kuna utapeli mpya umezuka wa genge la watu watatu(3),wawili kati yao wanajifanya ni WALIMU ambao wamefanikishiwa kuhama na mmoja wao ambaye yeye hujifanya ni kigogo pale TAMISEMI na anadai utume tsh 320000/- ili mchakato uende vizur.WATUMISHI WENZANGU HASA WALIMU TUWE MAKINI.kama unazihitaji namba zao koment nizishushe hapa.