Utapeli mpya huu hapa

Utapeli mpya huu hapa

irumba1

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2013
Posts
882
Reaction score
321
Habar wana jf,kuna utapeli mpya umezuka wa genge la watu watatu(3),wawili kati yao wanajifanya ni WALIMU ambao wamefanikishiwa kuhama na mmoja wao ambaye yeye hujifanya ni kigogo pale TAMISEMI na anadai utume tsh 320000/- ili mchakato uende vizur.WATUMISHI WENZANGU HASA WALIMU TUWE MAKINI.kama unazihitaji namba zao koment nizishushe hapa.
 
unajua ukitaka maisha ya mteremko lazima yakugharimu tuu
jambo la msingi acha njia za panya, baki njia kuu fuata taratibu mbona utafanikiwa?
 
unajua ukitaka maisha ya mteremko lazima yakugharimu tuu
jambo la msingi acha njia za panya, baki njia kuu fuata taratibu mbona utafanikiwa?

Unayosema ndiyo lakini si kwa Tanzania hii. Haya ya juzi tu yaliyotokea Uhamiaji ulikuwa bado hujarudi nchini?
 
Weka contacts zao hapa ili zisaidie na wengine, wasije wakatapeliwa

usijal ntaziweka,kwa sasa ngoja niendelee kuwazingua kwa vile wameniambia mwisho wa kuwatumia hela ni kesho saa 6 mchana
 
Back
Top Bottom