Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ndio ukweli wenyewe, stendi za bongo unatakiwa uingie kwa mawazo ya kila mtu ni muongo na tapeli.Wewe tambua tu, stand za mabasi hapa Tanzania ni magenge rasmi ya wezi, vibaka, matapeli, wachuuzi na watu wasiokuwa na kazi rasmi. Ukifika hapo uwe makini na usimwamini yoyote.
Karibu BongoWadau napenda kuwajulisha kuwa mnapofika katika stand hii na kama unataka kusafiri usiku kuwa kutumia magari maarufu kama IT na hasa ukishukia stand ya daladala unakutana na wapiga debe wanaotangaza kuwa kuna magari ya IT wakati si kweli.
Wanachofanya wanakuchukua hadi ndani ya kituo cha Magufuli kwenye ofisi za kukatia tiketi mabasi na kukuhakikishia kuwa kuna basi linaloondoka usiku huo huo wakati si kweli.
Stand ya Magufuli hakuna basi lolote linaloruhusiwa kuondoka usiku yote yanaondoka asubuhi kuanzia saa 12.
Mi yamenikuta nikaenda hadi kituo cha polisi lakini hakuna msaada wowote wa maana na inaonekana mapolisi wanajua mchezo huu na hawaonyeshi kuukomesha wma wameshindwa au wanalambishwa asali na wahusika.Hali hii wadau inasababisha usumbufu mkubwa usio wa lazima.Serikali ipige marufuku kabisa wapiga debe ambao wanaendelea kuwa kero sana kwa abiria.
Pia inaonekana hata tiketi za mtandaoni bado ni issue isiyo ya lazima kwa hawa jamaa.Kwa kifupi kunahitajika kampuni ya kusimamia logistics zote za stand ili kuleta tija na hadhi ya stand hii ya kimataifa.
Inasikitisha sana.Ukitaka kujua mwafika Hana akili fika hiyo stand ona tunavyoendesha mambo yetu!!
Hivi pia ni kwa nini hizo IT zinaachiwa na mamlaka husika kubeba abiria?Watu wa Dar, kila gari la "private" wanaliita IT. Mtu anapanda kwenye kagari ka private kutoka Chalinze kwenda Dar, anasema amepanda gari ya IT.
Kabisaaa yaanWewe tambua tu, stand za mabasi hapa Tanzania ni magenge rasmi ya wezi, vibaka, matapeli, wachuuzi na watu wasiokuwa na kazi rasmi. Ukifika hapo uwe makini na usimwamini yoyote.
Kabisaa yaanHuu ni utapeli watu wanapewa tahadhari, mnaanza kuleta ujuaji. Kama ww mjanja wa mji basi pita tu. Wasiojua wajifunze.
IT ndo kitu gani!!??Wadau napenda kuwajulisha kuwa mnapofika katika stand hii na kama unataka kusafiri usiku kuwa kutumia magari maarufu kama IT na hasa ukishukia stand ya daladala unakutana na wapiga debe wanaotangaza kuwa kuna magari ya IT wakati si kweli.
Wanachofanya wanakuchukua hadi ndani ya kituo cha Magufuli kwenye ofisi za kukatia tiketi mabasi na kukuhakikishia kuwa kuna basi linaloondoka usiku huo huo wakati si kweli.
Stand ya Magufuli hakuna basi lolote linaloruhusiwa kuondoka usiku yote yanaondoka asubuhi kuanzia saa 12.
Mi yamenikuta nikaenda hadi kituo cha polisi lakini hakuna msaada wowote wa maana na inaonekana mapolisi wanajua mchezo huu na hawaonyeshi kuukomesha wma wameshindwa au wanalambishwa asali na wahusika.Hali hii wadau inasababisha usumbufu mkubwa usio wa lazima.Serikali ipige marufuku kabisa wapiga debe ambao wanaendelea kuwa kero sana kwa abiria.
Pia inaonekana hata tiketi za mtandaoni bado ni issue isiyo ya lazima kwa hawa jamaa.Kwa kifupi kunahitajika kampuni ya kusimamia logistics zote za stand ili kuleta tija na hadhi ya stand hii ya kimataifa.
Samahan mkuu hivi zile special hire maana yake nini naziona tu iLa sielewi.........nijuze unitoe tongotongoUngeenda zako kibo ungekua special Hire za kutosha za uhakika.
In trasitIT ndo kitu gani!!??
Siku zote ukiwapelekea polisi kesi ya kipuuzi, huishia tu kukupuuza na kukupotezea. Wakati mwingine kuwa makini.Wadau napenda kuwajulisha kuwa mnapofika katika stand hii na kama unataka kusafiri usiku kuwa kutumia magari maarufu kama IT na hasa ukishukia stand ya daladala unakutana na wapiga debe wanaotangaza kuwa kuna magari ya IT wakati si kweli.
Wanachofanya wanakuchukua hadi ndani ya kituo cha Magufuli kwenye ofisi za kukatia tiketi mabasi na kukuhakikishia kuwa kuna basi linaloondoka usiku huo huo wakati si kweli.
Stand ya Magufuli hakuna basi lolote linaloruhusiwa kuondoka usiku yote yanaondoka asubuhi kuanzia saa 12.
Mi yamenikuta nikaenda hadi kituo cha polisi lakini hakuna msaada wowote wa maana na inaonekana mapolisi wanajua mchezo huu na hawaonyeshi kuukomesha wma wameshindwa au wanalambishwa asali na wahusika.Hali hii wadau inasababisha usumbufu mkubwa usio wa lazima.Serikali ipige marufuku kabisa wapiga debe ambao wanaendelea kuwa kero sana kwa abiria.
Pia inaonekana hata tiketi za mtandaoni bado ni issue isiyo ya lazima kwa hawa jamaa.Kwa kifupi kunahitajika kampuni ya kusimamia logistics zote za stand ili kuleta tija na hadhi ya stand hii ya kimataifa.
Ukiwa wewe ndio abiria wa kwanza utaona abaria gani?Wewe ni mshamba hapo hauna hoja kabisa walikuona zoba ukaingizwa kingi na kama mjanja huwezi kutoa pesa bila kuona basi na hasa likiwa na abiria
Hayo ni magari yaliyosajiliwa rasmi kwa ajili ya kusafirisha abiria wenye shughuli zao binafsi.Samahan mkuu hivi zile special hire maana yake nini naziona tu iLa sielewi.........nijuze unitoe tongotongo
Zinabeba waombolezaji, kuwa makini.Samahan mkuu hivi zile special hire maana yake nini naziona tu iLa sielewi.........nijuze unitoe tongotongo