robbyr
Senior Member
- Apr 8, 2017
- 129
- 221
Naomba nieleze kwa ufupi.
Kukua kwa teknolojia kunasaidia mambo mengi kukua ikiwemo biashara. Ila hivi karibu kumekuwa na utapeli dhahri mfano kwa hapa Tanzania. Kumekuwa na wafanya biashara kutoka upande wa Zanzibar hasa Pemba wakiuza vitu bei ya chini mbali na uhalisia mfano laptop.
Ambapo watu wengi waliokosa uelewa na kutokujua bei halisi wanakuwa wanatapeliwa bila kujua.
Pili, kuna wafanya biashara wanao posti bidhaa kutoka china moja kwa moja kwa bei ya chini sana yawezekana wengi ni wafanya biashara ila pia kumezuka na matapeli.
Ushauri.
Serikali ione kuna namna ya kusajili makampuni yote hata madogo madogo na kuweka mtandaoni ili mtu akitaka kulipia akahakiki katika mfumo wa serikali kujiridhisha ni kampuni au kikundi kweli cha wafanyabiashara.
Pili, elimu ya biashara mtandaoni itolewe na taasisi husika kwa tunakoelekea mambo yanaweza kuwa mabaya zaidi ya hapa leo.
Asanteee