mrejesho,utapeli pari match
wadau woote asanteni sana kwa mchango wa mawazo wenu, nilileta tatzo la pari.match kugoma kunipa pesa yangu lakin juzi wamenitumia pesa yote, kunakaka yangu aliwapigia.sim akawatukana sana na kuwapiga biti ya hatari, wakasema wanathibitisha. na ndan ya siku 3 zilizopita wamezituma zooote,na...
Type mrejesho ili kama ikiwezekana mm niwakimbie
Sent using JamiiForums mobile app