Hesabu maumivu....Kuna UTAPELI mkubwa kuna watu wanajiita TALA MIKOPO,wanadanganya watu kwamba wanatoa mikopo kwa Riba ndogo,unaambiwa weka Akiba Kiasi fulani,mfano ukitaka kukopa Laki mbili unaambiwa weka 32,000,ukiweka pesa hiyo kwa mujibu wa Maekezo yao hiyo 32000 ndo inakuwa imeliwa
Inawezekana ni version hiyo hiyo uliyoiibia nayo imeamua kuibia wengine ili kirudisha pesa mlizowaibiaHao waliokutapeli ni tala version two, tala wenyewe tulishawapiga sana hela zao, mimi nimelala mbele na laki 6 yao mpaka leo wako kimya hata kunidai hawanidai tena.
Haaa haaa haaa, basi acha watulipie dhambi zetu.Inawezekana ni version hiyo hiyo uliyoiibia nayo imeamua kuibia wengine ili kirudisha pesa mlizowaibia
Yaani wamechukua kivipiWameishia kuchukua Hela yangu,chakushangaza kwanini hawafuatiliwi na wanajitangaza kwenye mitandao?