Utapeli TALA mikopo

Utapeli TALA mikopo

nyaunyau

Senior Member
Joined
Oct 28, 2009
Posts
137
Reaction score
27
Kuna UTAPELI mkubwa kuna watu wanajiita TALA MIKOPO,wanadanganya watu kwamba wanatoa mikopo kwa Riba ndogo,unaambiwa weka Akiba Kiasi fulani,mfano ukitaka kukopa Laki mbili unaambiwa weka 32,000,ukiweka pesa hiyo kwa mujibu wa Maekezo yao hiyo 32000 ndo inakuwa imeliwa
 
Hesabu maumivu....

Watumie tena.
 
Hao waliokutapeli ni tala version two, tala wenyewe tulishawapiga sana hela zao, mimi nimelala mbele na laki 6 yao mpaka leo wako kimya hata kunidai hawanidai tena.
 
Inawezekana ni version hiyo hiyo uliyoiibia nayo imeamua kuibia wengine ili kirudisha pesa mlizowaibia
 
Ukiwajua wako hivyo, weka dhamana hiyo ya elfu 32, kopa laki 2 kisha acha kulipa.
 
Shilole kupromote Tala inayotapel utapata shida
 
Back
Top Bottom