Acha uswahili bana!!!!!! kwani wewe umeshawahi kuingiziwa ukaisikia na kuondoa mkanganyiko? tumia lugha nyepesi bana.mbna unakuwa mbumbumbu wewe ataitumaje direct? Lazma akuingizie wewe na uisikie imeingia ili kuondoa mikanganyko
Ahahahahahaah!! Kumbe kiswahili kina utata namna hii...Acha uswahili bana!!!!!! kwani wewe umeshawahi kuingiziwa ukaisikia na kuondoa mkanganyiko? tumia lugha nyepesi bana.
Naona unaogolea kwenye lugha ya kiswahilimbna unakuwa mbumbumbu wewe ataitumaje direct? Lazma akuingizie wewe na uisikie imeingia ili kuondoa mikanganyko
Wakuu hackers wamefanikiwa kuingia kaatika mtandao wa tigo pesa na kusababisha matatizo mbali mbali kwa mfano wanunuzi wa vocha kupitia mfumo wa tigo pesa wataliwa ....kuweni waangalifu security system ya tigo pesa hiko chini sana kuweza kudhibiti wataalamu wa kuingilia mifumo na kuchukua fedha za watu
wataalamu wa software na kuingilia mitandao ya mifumo mbali mbali leo wameingilia mifumo ya tigo pesa so leo natoa taarifa kuwa wataotumia mtandao huu watakuwa wanahatarisha usalama wa amana zao kwa leo kwani hackers wanaweza kunasa mpaka password za account za watu
Tueleze incidency yoyote iliyotokea ili kujua hiyo hacking ilivyofanyika,otherwise taarifa hii itakuwa siyo warranted,TIGO pia watatoa taarifa kwa wateja wao kama kitu kama hicho.Isije ukawa unatumiwa na M-PESA kudemolarise tigo users.
HAYO ni majungu
Kwanini sahack VODA ambao hawalipi kodi?
Ahsante kwa taarifa Mheshimiwa!! Sasa tunafanyeje? Mimi leo asubuhi nimepatwa na mkasa huo,nimeliwa hela yangu Sh.6000 ambayo nilikuwa nanunua (vocha) kwa tigo-pesa. Je,nifanyeje ili niwe refunded??