Mr.Professional
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 1,582
- 258
Tuache tabia ya kubisha kwa kila kitu ni vema kuchukua tahadhari mapema kuliko kuanza kulia baadaye bila mafanikio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HAYO ni majungu
Kwanini sahack VODA ambao hawalipi kodi?
Mkuu naona wamerudisha balance kama hukupata salio.
kaka wengine ndio hao wanakurupuka tu na kuanza kuandika ni sawa na wale wabunge wetu wakiwa mjengoni utakuta wanauchapa usingizi wakishtuliwa tu na nao hugonga meza au huitikia ndioooo imepita wakati hawajui nini kimezungumzwaUmenichanganya majungu ya nani,hackers au muanzisha thread?
Usijali tigo hakuna ujanjaujanja watakurudishia pesa zako zote nawaamini sana.Last week nlinunua salio la 3000 kupitia tigo pesa, ilikaa kama masaa mawili ndo wananiambia operation successfull lakini kuangalia salio, kulikuwa hawajaweka.
JANA, nimenunua tena salio la 10000 hawanipa mpaka navoandika hapa.
Nimewapigia usiku, wakanambia mtandao wao wa tigo pesa una matatizo kwa sasa ivo watanirudishia.
Lakini nkikumbuka 3000 hawakurudisha. Inanipa wasiwasi kama watanirudishia 10000 yangu.