Utapeli ulivyonirudisha Jamii Forums baada ya miaka 14

Utapeli ulivyonirudisha Jamii Forums baada ya miaka 14

Wazee wa pi π wamechimba miaka mitano yote wameunguza bando zao, wamegawa taalifa zao kwa matapeli wakiota ndogo za Kuja kuwa mabilionea kwamba Pai Moja Inathamani ya usd laki 3. Aisee hii Dunia Haina huruma ukikaa kindezi hata hicho kidogo ulichonacho wanachukua
Mkuu bora nilime tumbaku ni tengeneze snuff na niuze Cannabis hizi tangible haya mambo ya kusadikika hapana.
 
Kuna watu niwajinga Yaani unachukua Pesa Eti Unawekeza !!
Unawekeza Kwenye Vitu vyakufikirika kabisa!!
Kuna muda Serikali inamambo mengi yakufanya Iwaache Wajinga hao
Tokea Kina DESI nk
Yani, watu huwa hawataki kufikiri. Nimeona jana tayari kimewalamba!
 
Hivi kwa nini watu hawanashindwa kuelewa pyramid scam business.

Au ccm ni muhusika mkubwa ndani ya serikali.

Maana kuna vitu ambavyo hata ccm naweza kusema vinahusika ndani ya nchi sababu ni serikali.
Ujambazi, uporaji na utapeli huendeshwa na CCM pasipo kificho maana hata vyombo vya usalama vimegeuzwa kuwa mali ya chama..

Fikiria huu uongo wa "mama anaupiga mwingi"

Hakuna pahali popote anapofiti huyu mama, leo wanataka apewe urais kisa ameupiga mwingi alipochukua nafasi ya marehemu.

Huu ni utapeli na wanaotapeliwa ni wale wananchi wanaoshawishiwa kumkubali kiongozi asiyefaa kuwa rais.
 
Kuna watu niwajinga Yaani unachukua Pesa Eti Unawekeza !!
Unawekeza Kwenye Vitu vyakufikirika kabisa!!
Kuna muda Serikali inamambo mengi yakufanya Iwaache Wajinga hao
Tokea Kina DESI

Unadhani waamuzi wangekuwa hawana mgao kwenye hizo taasisi / kampuni zingeweza kufanikiwa kutapeli?
 
Back
Top Bottom