Utapeli ulivyonirudisha Jamii Forums baada ya miaka 14

Mkuu bora nilime tumbaku ni tengeneze snuff na niuze Cannabis hizi tangible haya mambo ya kusadikika hapana.
 
Kuna watu niwajinga Yaani unachukua Pesa Eti Unawekeza !!
Unawekeza Kwenye Vitu vyakufikirika kabisa!!
Kuna muda Serikali inamambo mengi yakufanya Iwaache Wajinga hao
Tokea Kina DESI nk
Yani, watu huwa hawataki kufikiri. Nimeona jana tayari kimewalamba!
 
Hivi kwa nini watu hawanashindwa kuelewa pyramid scam business.

Au ccm ni muhusika mkubwa ndani ya serikali.

Maana kuna vitu ambavyo hata ccm naweza kusema vinahusika ndani ya nchi sababu ni serikali.
Ujambazi, uporaji na utapeli huendeshwa na CCM pasipo kificho maana hata vyombo vya usalama vimegeuzwa kuwa mali ya chama..

Fikiria huu uongo wa "mama anaupiga mwingi"

Hakuna pahali popote anapofiti huyu mama, leo wanataka apewe urais kisa ameupiga mwingi alipochukua nafasi ya marehemu.

Huu ni utapeli na wanaotapeliwa ni wale wananchi wanaoshawishiwa kumkubali kiongozi asiyefaa kuwa rais.
 
Kuna watu niwajinga Yaani unachukua Pesa Eti Unawekeza !!
Unawekeza Kwenye Vitu vyakufikirika kabisa!!
Kuna muda Serikali inamambo mengi yakufanya Iwaache Wajinga hao
Tokea Kina DESI

Unadhani waamuzi wangekuwa hawana mgao kwenye hizo taasisi / kampuni zingeweza kufanikiwa kutapeli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…