Pastory Kimaryo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 967
- 668
Unavyosema hakuwa na mtaji as if unashikiliaga bank cards zake vile.kwa experience ya mwaka mmoja sokoni naconclude kwa kusema forex is a real busness, na ningeshaur kila kijana msomi awe na hii skill ukipoteza hela kuna principle unaziviolete, japo kuna hasara za bahat mbaya ambazo hazikwepeki..huyu dogo namuamni kuwa ni trader lkn kutengeneza milion 9 kwa wiki yaani dola elf 4 ni uongo asilimia 150 labda uwe na mtaji mkubwa sana, ukiwa na risk management nzur hiyo hela unaweza kuitengeneza ukiwa na mtaji kuanzia dola elf 50 ambayo inaruhusu kurisk ata dola 200 ili upate 400 au 600 na kuendelea, ndani ya wiki kama soko liko vizr unaweza tengeneza hiyo pesa huyu kijana huo mtaji hakuwa nao, pengine huyu kijana aliingiwa na tamaa baada ya kukusanya pesa za watu ambazo zilipelekea kutrade kwa position sizing kubwa kuliko mtaji kitu ambacho ni hatar sana.
JAMANI THIS JOB IS DIFFUCULT LET NOT ANYBODY TELL YOU OTHER WISE, inahitaji skill ya hali ya hali ya juu, displine na patient, yaani kifup uwe unajua kabsa unachokifanya na sio kubahatisha
the rest of your reply I thumb up!