Utapeli wa huyu dada wamtokea puani

Mkuu hii mbona kama fiction? Yaani ndugu zake wamchukue wampeleke dada wa watu hospitali bila kumhoji nini kilitokea ili wabakaji wachukuliwe hatua? Nawe pia unapaswa uisaidie polisi hadi hawo wahalifu sugu wapatikane. Subiri wenyewe waje.
 
Hivi mkuu unaposoma habari yoyote unasomaga juu juu ebu kuwa makini soma hatua kwa hatua iyelewe ndipo ucomment
 
Huyo jamaa fala ana bahati what if angefunguliwa kesi ya ubakaji na wenzake?
Si angeenda kulimwa mvua 30 akaharibu maisha yake.
Saa nyingine akili ichulue mkondo wake unaweza kuja kujuta kisa ela ambayo inatafutwa
 
Hivi mkuu unaposoma habari yoyote unasomaga juu juu ebu kuwa makini soma hatua kwa hatua iyelewe ndipo ucomment
Mkuu nimekuelewa vizuri sana. Jamaa alimpa Manzi hela ili amtungue lakini manzi akawa anazingua. Ndipo akamlia timing ya kumbaka akishirikiana na mwenzake. Hili tayari ni tukio la kihalifu linalopaswa kuripotiwa polisi ili wahalifu wachukuliwe hatua. Wewe kama mtanzania unayejitambua uliwahi kutoa taarifa polisi kuhusu uhalifu huu?
 
Hii Sasa Ni trailer, movie lenyewe bado.
A ha tuendelee kunywa mtori nyama tutazikuta chini.

It's a matter of time.
 
Jamaa angu uwe makini, hiii unayoireport ni jinai, utakuja takiwa kuwa shahidi kwa mambo ulio hadithiwa. Usione unatumia jina fake, kupatikana kwako ni rahisi sana
Nakazia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…