Utapeli wa huyu dada wamtokea puani

Utapeli wa huyu dada wamtokea puani

Habari wanajf

Nilienda mkoa mmoja hivi kwa shughuli binafsi, wakati nipo pale kwa muda mchache kulikuwa na tukio moja limetokea na story yake iko hivi mdada mmoja mzuri sana pale mtaani alikuwa amekula hela za jamaa mmoja lakini mzigo akawa hatoi ndani ya wiki 1 tu jamaa kashatumia laki 2 kwa huyo manzi.

Kuna wakati anampanga vizuri manzi hatokei sasa akaamua amtumie rafiki yake Yule manzi na akamlipa Ili amkutanishe nae shosti yake akamkubalia mwana basi akatekeleza ule mpango akampanga mpaka sehemu ambayo watakuwa na shosti wake huyo.

Ilivyofika hiyo siku kweli jamaa aliwakuta wote wawili alijifanya kama accident kukutana nao Yule shosti wake akatoka kiaina kama walivyo kubaliana na jamaa so wakabaki wao wenyewe wawili Yule manzi akatoka kidogo kaenda chooni jamaa akamwekea kitu kwenye chupa yake ya bia baadae akazima hakamchukua akampeleka ghetto hakambaka pamoja na wenzake wawili walivyomaliza wakamrudisha nyumbani kwake.

Baada ya siku Ile kupita Yule dada akawa hawezi kutoa sauti na akinywa maziwa akitapika tu yanatoka yakiwa kama yameganda alikuja kupona baada ya mwezi.

NB: kwa kweli hiki kitendo sio kizuri lakini dada zangu nawashauri kuna wanaume wengine hawakubali kuliwa hivi hivi kueni makini kama umezoea kula vya watu lazima ulipe Ndio kanuni ilivyo
Mkuu hii mbona kama fiction? Yaani ndugu zake wamchukue wampeleke dada wa watu hospitali bila kumhoji nini kilitokea ili wabakaji wachukuliwe hatua? Nawe pia unapaswa uisaidie polisi hadi hawo wahalifu sugu wapatikane. Subiri wenyewe waje.
 
Hivi mkuu unaposoma habari yoyote unasomaga juu juu ebu kuwa makini soma hatua kwa hatua iyelewe ndipo ucomment
 
Habari wanajf

Nilienda mkoa mmoja hivi kwa shughuli binafsi, wakati nipo pale kwa muda mchache kulikuwa na tukio moja limetokea na story yake iko hivi mdada mmoja mzuri sana pale mtaani alikuwa amekula hela za jamaa mmoja lakini mzigo akawa hatoi ndani ya wiki 1 tu jamaa kashatumia laki 2 kwa huyo manzi.

Kuna wakati anampanga vizuri manzi hatokei sasa akaamua amtumie rafiki yake Yule manzi na akamlipa Ili amkutanishe nae shosti yake akamkubalia mwana basi akatekeleza ule mpango akampanga mpaka sehemu ambayo watakuwa na shosti wake huyo.

Ilivyofika hiyo siku kweli jamaa aliwakuta wote wawili alijifanya kama accident kukutana nao Yule shosti wake akatoka kiaina kama walivyo kubaliana na jamaa so wakabaki wao wenyewe wawili Yule manzi akatoka kidogo kaenda chooni jamaa akamwekea kitu kwenye chupa yake ya bia baadae akazima hakamchukua akampeleka ghetto hakambaka pamoja na wenzake wawili walivyomaliza wakamrudisha nyumbani kwake.

Baada ya siku Ile kupita Yule dada akawa hawezi kutoa sauti na akinywa maziwa akitapika tu yanatoka yakiwa kama yameganda alikuja kupona baada ya mwezi.

NB: kwa kweli hiki kitendo sio kizuri lakini dada zangu nawashauri kuna wanaume wengine hawakubali kuliwa hivi hivi kueni makini kama umezoea kula vya watu lazima ulipe Ndio kanuni ilivyo
Huyo jamaa fala ana bahati what if angefunguliwa kesi ya ubakaji na wenzake?
Si angeenda kulimwa mvua 30 akaharibu maisha yake.
Saa nyingine akili ichulue mkondo wake unaweza kuja kujuta kisa ela ambayo inatafutwa
 
Hivi mkuu unaposoma habari yoyote unasomaga juu juu ebu kuwa makini soma hatua kwa hatua iyelewe ndipo ucomment
Mkuu nimekuelewa vizuri sana. Jamaa alimpa Manzi hela ili amtungue lakini manzi akawa anazingua. Ndipo akamlia timing ya kumbaka akishirikiana na mwenzake. Hili tayari ni tukio la kihalifu linalopaswa kuripotiwa polisi ili wahalifu wachukuliwe hatua. Wewe kama mtanzania unayejitambua uliwahi kutoa taarifa polisi kuhusu uhalifu huu?
 
Hii Sasa Ni trailer, movie lenyewe bado.
A ha tuendelee kunywa mtori nyama tutazikuta chini.

It's a matter of time.
 
Jamaa angu uwe makini, hiii unayoireport ni jinai, utakuja takiwa kuwa shahidi kwa mambo ulio hadithiwa. Usione unatumia jina fake, kupatikana kwako ni rahisi sana
Nakazia
 
Back
Top Bottom