Utapeli wa huyu dada wamtokea puani

Umpe dunia yote na sisi tukakae wapi mkuu🤔
 

Nasikia huwa wanaweka panadol ila inatakiwa owe kiasi kidogo sana... watu wa chemistry wanaweza kufafanua mahusiano ya panadol na beer
 
Jamaa angu uwe makini, hiii unayoireport ni jinai, utakuja takiwa kuwa shahidi kwa mambo ulio hadithiwa. Usione unatumia jina fake, kupatikana kwako ni rahisi sana
Unajua mitandaoni watu wanahisi wanajenga hoja,za kipumbavu,bila kujua ni makosa ya jinai. Hapa tayari kesi. Na yeye alijuaje? Ikawaje akalkalia kimywa unyama huu!?
 
Mbwa kala mbwa.

Ukila pesa ya mwanaume basi jiandae kuliwa .


Kama mtu humpendi usile hela yake .
 
Mamlaka naomba zichukue hatua, zianze na mtoa mada aoneshe mtuhumiwa alipo, jinai haiishi kwa kutibiana na kuyamaliza kimya kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…