toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,283
- 11,253
Sawa mkuu msipende kuwa staki natakaSasa ndiyo wambake tena gang? Tunatafuta pesa zetu isiwe shida 🤔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu msipende kuwa staki natakaSasa ndiyo wambake tena gang? Tunatafuta pesa zetu isiwe shida 🤔
Njoo hapa nikulipia, jumabili niko bored sanaKuanzia leo hatutaki pesa zenu, hata tukitoka out tutajilipia drinks and food😀
Hao wakosoaji wa serikali humu si wangeshakamatwa,umejiunga lin jf?,hivi unajua Maxence Melo alishapandishwa kizimbani kwa sababu ya huu mtandao?.....We bado mdogo sana kwenye security,
Wewe uko invisible kwa member wenzio wa JF, sio kwa determine state agency.
Shida ipo kwenye kusoma vizuri habari umesoma vizuri au ndio unakurupuka tu kucommentYaani hilo dogo wewe hayawani kabisa, mbakaji unatamba hakuna wa kukuchukulia hatua nchi hii?
Mkuu sasa mimi nimehusika vipi hapo? Umesoma vizuri uzi na kwa umakini mkubwa?inaonesha unesoma ila haujaelewa vizuriWewe, mhusika, na wengine wote ni wapumbavu, kumbe kuna sababu ya watu kufungwa maisha Jela, Huyo jamaa anastahili kufungwa maisha, hafai kwenye jamii.
Malipo yake ni mbususu ama ni offer tu? nijue mapema kabla sijatoka huku buza😛Njoo hapa nikulipia, jumabili niko bored sana
Kwahiyo sisi wadada hatuwezi kuoffer kitu kingine zaidi ya mbususu, mkitoa hela/offer malipo ni mbususu? Aah msiwe hivo bana.Sawa mkuu msipende kuwa staki nataka
Mkuu sasa mimi nimehusika vipi hapo? Umesoma vizuri uzi na kwa umakini mkubwa?inaonesha unesoma ila haujaelewa vizuri
onesha wapi nimesapoti?Ume support
Adui Yako ni MTU wako wa karibu, Reference Kwa Yuda na Yesu wa Nazarethhuyo alomuuza bado anajiita shosti yake?
Wewe wacha @Tanzaniapolice ishughulike naweonesha wapi nimesapoti?
Njoo tupeane offer tu 😀Malipo yake ni mbususu ama ni offer tu? nijue mapema kabla sijatoka huku buza😛
Hiko kicheko inaonesha kabisa offer haiendi bure hiyo, kweli ninywe Savanah kumi, nitoke salama?😀😀Njoo tupeane offer tu 😀
Nilishazeeka, kitu kimelala fofo, njoo tujadili namna ya kulima kilimo cha mapera 😀😀Hiko kicheko inaonesha kabisa offer haiendi bure hiyo, kweli ninywe Savanah kumi, nitoke salama?😀😀
Wanasema ng'ombe hazeeki maini😀Nilishazeeka, kitu kimelala fofo, njoo tujadili namna ya kulima kilimo cha mapera 😀😀
Labda uje uyafufue wewe, nikuandalie kinywaji gani mtoto mzuri 😀Wanasema ng'ombe hazeeki maini😀
Adui Yako ni MTU wako wa karibu, Reference Kwa Yuda na Yesu wa Nazareth
Ahsante sana next time ntakaribia mkuuLabda uje uyafufue wewe, nikuandalie kinywaji gani mtoto mzuri 😀
Sa ye mazingira aliyatengeneza kinamna hiyo, ndugu yangu pambanaKwahiyo sisi wadada hatuwezi kuoffer kitu kingine zaidi ya mbususu, mkitoa hela/offer malipo ni mbususu? Aah msiwe hivo bana.
Me sitaki uje upate stress za mapenzi tenaAhsante sana next time ntakaribia mkuu