Utapeli wa kwenye mitandao

Bahati Baraka

Member
Joined
Jan 4, 2018
Posts
27
Reaction score
10
Kuwa makini sana na hawa watu wanaojiita Focus bikoba,ni matapeli sana na wanatoa matangazo kuwa wanakopesha ukiwafatilia wanakudanganya unatuma hela ili wakusajili alafu wanakugeuka,watu wengi aana wametapeliwa hata mimi wamenitapeli inasikitisha hali ya sasa ilivyo ngum halafu MTU achukue hela yako hivihivi
 
Hahahaha mkuu chekundu na cheusi duh! Pole keep on going
 
Pole sana, usitoe pesa yako kirahisirahisi. Kila unapotaka kuitoa kumbuka mahangaiko uliyopitia kuipata.
 
Join the Most trustworthy broker!!!
Templerfx!!!!
- Easy to Deposit your investment capital by Mobile Money Transfer (M-Pesa, Airtel Money) Just less than an hour, your account will be funded.
- Easy to withdraw you money(M-Pesa, Airtel Money) less than an hour your money will be in your phone ready to get from WAKALA!!
-Quick and Easy customer services.

Very Easy to join!!!
Click on the link below open account
TemplerFX | Promo

Kwa wale Wa forex templerfx ni broker mzuri sana kwa mazingira yetu ya bongo , ni rahisi kujisajili lakini pia njia za kutuma na kupokea Pesa yako ni rahisi mno!
 
Acha usengee wako huu tapeli wewe.

Ardhi ipo ya kutosha Tanzania tuelekee shamba tukalime hakuna pesa ya bure kwa hizi shortcut zenu pumbavu kabisa.

Ukiona mbongo anakuitia fursa basi ujuwe wewe ndio fursa yenyewe.
 
Acha usengee wako huu tapeli wewe.

Ardhi ipo ya kutosha Tanzania tuelekee shamba tukalime hakuna pesa ya bure kwa hizi shortcut zenu pumbavu kabisa.

Ukiona mbongo anakuitia fursa basi ujuwe wewe ndio fursa yenyewe.
Povu sana mkuu, nilikuwa nahitaji povu la kusafishia choo asubuhi hii nashukuru nimelipata.. Nikuambie kitu kutrade forex haimainishi hufanyi kazi zingine kama zilivyo za kilimo,ufugaji na za ofisini, smart people wanafanya yote hawapo tayari kutegemea kipato sehemu moja,
Ili maisha yako yasiwe na stressed jishughulishe na fursa nyingi zinazojitokeza.
Watu tunapiga forex, mazao yapo shamban yanastawi, mifugo ipo kama kawaida , na kazi zetu kwa muhindi tunawajibika kama kawa. Life linaenda ,

Niongezee povu mkuu choo bao hakijatakata
 
Na wewe utakuwa tapeli mbona unampigia promo sana huyo broker wako?
 
Fokofuu.
 
Acha usengee wako huu tapeli wewe.

Ardhi ipo ya kutosha Tanzania tuelekee shamba tukalime hakuna pesa ya bure kwa hizi shortcut zenu pumbavu kabisa.

Ukiona mbongo anakuitia fursa basi ujuwe wewe ndio fursa yenyewe.
si ukalime wewe unalazimisha watu wote walime pumbavu
 
Tapeli at work
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…