Bahati Baraka
Member
- Jan 4, 2018
- 27
- 10
Kuwa makini sana na hawa watu wanaojiita Focus bikoba,ni matapeli sana na wanatoa matangazo kuwa wanakopesha ukiwafatilia wanakudanganya unatuma hela ili wakusajili alafu wanakugeuka,watu wengi aana wametapeliwa hata mimi wamenitapeli inasikitisha hali ya sasa ilivyo ngum halafu MTU achukue hela yako hivihivi