Utapeli wa Mastala Cup Mbeya

Utapeli wa Mastala Cup Mbeya

Freightliner

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2013
Posts
720
Reaction score
527
Kijana mpenda michezo ndani ya mji wa Mbeya na muandaaji wa mashindano maarufu kama Mastala Cup acha uhuni na utapeli kijana. Umeandaa mashindano yako yamefanyika hadi kumalizika na Itezi United kuibuka bingwa takribani wiki sasa imeisha lakini hakuna cha zawadi wala nini.

Namba zako hazipatikani na inasemekana hapa mjini haupo na pia chama cha mpira Mbeya acheni kujitoa akili kwenye hili suala mnaua mpira ninyi watu mjiandae mahakamani kujibu suala hili ili kila mtu apate anachostahili.

Itezi United wanataka haki yao ya ubingwa.
[HASHTAG]#KIUMBE[/HASHTAG] [HASHTAG]#AJIM[/][/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom