Utapeli wa mitandao: Tuwe makini mno

Barca

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2013
Posts
1,448
Reaction score
1,624
Vijana wasomi wamesambaa nchi nzima na hawakai eneo moja wanawaibia hela MPESA, AIRTEL MONEY, TIGO PESA nk tuwe makini hasa watoa huduma za hii mitandao ya fedha
 
Kuna video najaribu kuweka inagoma
naomba utufafanulie vizuri, wanatumia mbinu gani ili kuwaibia watu, ukitutajia baadhi ya mbinu utawaokoa wengi
 
Duu nimeangalia iyo clip mtandao nimkubwa na inaovyoonekana wamewapiga sana mawakala
 
Hawa ni noma, walimliza rafiki yangu 1.5m. Kwa usawa huu wa magu,ilikuwa balaa. Ikabidi jamaa awahi bank ku-top up mkopo.
 
Vijana wasomi wamesambaa nchi nzima na hawakai eneo moja wanawaibia hela MPESA, AIRTEL MONEY, TIGO PESA nk tuwe makini hasa watoa huduma za hii mitandao ya fedha
Wana elimu lakini hawana maarifa... Badala ya kuwaibia masikini visenti vyao wangedukua mawasiliano ya wanasiasa hasa yale ya kuomba mlungula na mambo ya michepuko wangepiga ndefu kwa muda mfupi sana
 
Dah kweli mjini akili nguvu shamba

Let me quote something
Mabaharia 8:6-7 "baharia atakula Kwa jasho lake mwenyewe,Na sio kusubiri wenzake achumie juani yeye Aje alie kivulini"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…