Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naomba utufafanulie vizuri, wanatumia mbinu gani ili kuwaibia watu, ukitutajia baadhi ya mbinu utawaokoa wengi
nilikuwaga natafuta namba yako muda mrefu sana,,,doh...asanteNitumie plz...0716865460
nilikuwaga natafuta namba yako muda mrefu sana,,,doh...asante
Wana elimu lakini hawana maarifa... Badala ya kuwaibia masikini visenti vyao wangedukua mawasiliano ya wanasiasa hasa yale ya kuomba mlungula na mambo ya michepuko wangepiga ndefu kwa muda mfupi sanaVijana wasomi wamesambaa nchi nzima na hawakai eneo moja wanawaibia hela MPESA, AIRTEL MONEY, TIGO PESA nk tuwe makini hasa watoa huduma za hii mitandao ya fedha
Acha kuteseka ww kwa watu usiowajua,Mwisho wa sku utakuja kupalamia majininilikuwaga natafuta namba yako muda mrefu sana,,,doh...asante
Acha kuteseka ww kwa watu usiowajua,Mwisho wa sku utakuja kupalamia majini
jini nae ni kiumbe mkuu,usimwogope,ogopa Muumba tu,nishakutana na jini mara moja ila alikua mstaarabuAcha kuteseka ww kwa watu usiowajua,Mwisho wa sku utakuja kupalamia majini
Jini mstaarabu[emoji23]jini nae ni kiumbe mkuu,usimwogope,ogopa Muumba tu,nishakutana na jini mara moja ila alikua mstaarabu