Utapeli wa Mjapan

Utapeli wa Mjapan

Hiyo ni market strategic ,wanafanya kupanua soko lao kwa kuwa wao wanafata philopsp in production kama kaizen,kan ban ,5s hizo ndio zinawasaidia kuamua kuwa soko linataka nini , huu mchezo wameanza muda MREFU ukiangalia hata Mazda Kuna gari ziko Kila kitu the same with Subaru ,the same with Toyota ......Hawa wanatengeneza mpunga sana km mazuzu wafata mkumbo lkn ni nadra sana kujuta gari za mzungu na huo ujinga
Hahaaa umenikumbusha Kaizen na 5S kwenye simo la Engineering management &ethics [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] , kuna njemba zilikuwa zinachukia hili somo ,zile special case studies za Chybobyl
 
Najaribu kutafakari huo utapeli ulipo, sipati jibu...

Versions fulani fulani za gari hutengenezwa kwa sababu nyingi lakini kwa uchache huwa ni soko lengwa, marekebisho ya bugs fulani, makubaliano ya car companies mbili au zaidi n.k
 
Muonekano, chassis, baadhi ya engine na gearbox options, na gari zote zimetengenezwa kiwanda cha Nissan. Mpaka funguo walitumia ya Nissan. Walibadilisha logo tu.
Nimesema namba 9 na sio namba 7.
 
Mkuu, tulishawahi kujadili mada kama hiyo hapa. Suala la masoko linachangia saana kuwa na majina tofauti kwa gari moja. Na sio Toyota tu wanaofanya hivyo. Makampuni mengi sana yanafanya hivyo.

Kuna sababu nyingine nyingi pia, kama kushare gharama za utafiti na uzalishaji. Kurahisisha upatikanaji wa vipuli, kuingia soko jipya au soko tofauti etc. Wakati mwingine majina yanaweza kuwa na tafsri mbaya kwenye soko moja kulinganisha na jingine.

Ila kwa hiyo kesi tajwa, hizo Toyota ni kampuni mama ya Subaru na Daihatsu. So utafiti unafanya kwa pamoja, uzalishaji unafanya kwa pamoja, wanatofautisha nembo na vitu vingine vichache.
Mfano kwenye simu kuna Tecno na Infinix.
 
Nimesema namba 9 na sio namba 7.
Kweli mkuu! Niliangalia vibaya. Hizo zote ziko chini ya VW Group, so zinashare platform moja. So vitu kama chassis, engine, gearbox, suspension components zina shares. Pia kwenye hiyo list kuna Lamborghin Urus na Bentley Bentayga.
 
Wanatengeneza kuliangana na quality control na specification ya nchi husika...
 
Mifano mingine:
1. Ford Escape = Mazda Tribute
2. Toyota IST = Scion xA, Uburn Cruiser, Toyota xA
3. Suzuki Grand Vitara = Suzuki Escudo
4. Suzuki Swift = Chevrolet Cruze
5. Toyota Voltz = Pontiac Vibe
6. Toyota GT86 = Subaru BRZ, Scion FRS
7. Nissan Navara = Mercedes X Class
8. Nissan Dualis = Nissan Qashqai
9. Audi Q7 = VW Toureg, Porsche Cayene
List ni ndefu sana
10.Nissan March (Afrika) = Nissan Micra (Europe)
11. Toyota Vitz (Afrika)= Toyota Yaris (Europe) Echo (some market)
 
Back
Top Bottom