Utapeli wa Mjapan

Hahaaa umenikumbusha Kaizen na 5S kwenye simo la Engineering management &ethics [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] , kuna njemba zilikuwa zinachukia hili somo ,zile special case studies za Chybobyl
 
Najaribu kutafakari huo utapeli ulipo, sipati jibu...

Versions fulani fulani za gari hutengenezwa kwa sababu nyingi lakini kwa uchache huwa ni soko lengwa, marekebisho ya bugs fulani, makubaliano ya car companies mbili au zaidi n.k
 
Muonekano, chassis, baadhi ya engine na gearbox options, na gari zote zimetengenezwa kiwanda cha Nissan. Mpaka funguo walitumia ya Nissan. Walibadilisha logo tu.
Nimesema namba 9 na sio namba 7.
 
Mfano kwenye simu kuna Tecno na Infinix.
 
Nimesema namba 9 na sio namba 7.
Kweli mkuu! Niliangalia vibaya. Hizo zote ziko chini ya VW Group, so zinashare platform moja. So vitu kama chassis, engine, gearbox, suspension components zina shares. Pia kwenye hiyo list kuna Lamborghin Urus na Bentley Bentayga.
 
Wanatengeneza kuliangana na quality control na specification ya nchi husika...
 
10.Nissan March (Afrika) = Nissan Micra (Europe)
11. Toyota Vitz (Afrika)= Toyota Yaris (Europe) Echo (some market)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…