Craig
JF-Expert Member
- Feb 9, 2013
- 1,512
- 2,712
Wezi wa kupitia mitandao wanaendelea kuibia watu kwa kutumia kila namna mitandao ya simu haitoi ushirikiano wa kutosha kwa wateja wao. TCRA nini maana ya kusajili laini kwa vidole na kitambulisho?
Hawa wahalifu kwanini wasipewe adhabu iwe fundisho kwa wengine?
Hawa wahalifu kwanini wasipewe adhabu iwe fundisho kwa wengine?