Utapeli wa RAS-Electronics ya Mabibo hosteli- Tunahitaji mashahidi

Utapeli wa RAS-Electronics ya Mabibo hosteli- Tunahitaji mashahidi

Head teacher

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2012
Posts
1,796
Reaction score
412
Kuna malalamiko mengi kuhusu RAS electronics ya mabibo hostel ya ama kudhulumu, au kubadilisha hardware, au kum-provoke mteja ili afanye kosa la jinai wakati anapodai mali yake. Na mara mteja anapofanya kosa la jinai lililoratibiwa, haraka sana huweka ushahidi nakupiga simu polisi ya external na polisi huja ndani ya dakika moja kuwachukua watuhumiwa.Na mtuhumiwa anayekamatwa kwa maelekezo ya RAS mara nyingi hupata ugumu wa kupewa dhamana ili ndugu waanze kunegotiate kulipa fidia kubwa ya fedha. Tunaomba mtu yeyote ambaye amewahi kudhulumiwa au kutengenezewa kesi na RAS, au yupo tayari kutoa ushahidi kuhusu utapeli na utengenezaji wa kesi awasiliane nasi kwa email frehape@gmail.com ili tuweze kuukomesha huu mtandao.
 
Back
Top Bottom