Utapeli wa SME-Tanzania na wengine

Na nyie mnazingua sana, acha tu mpigwe.

Unawezaje kuwekeza fedha zako kwa mtu usiyemjua/kumuona?

Si mara mia hiyo hela utoe sadaka upate rehema na neema kutoka kwa Mungu!!?
[emoji1787][emoji1787]
 
Goodmorning sio Utapeli sema ule Mfumo wao hauwezi fanya kazi Africa labda ishi ka Asia, Wale wana sponsor hadi Machester City sijui, sema Model yao kwa Africa haifanui kazi wana force na hapo ndo utapeli unapo onekana
 
Hawa ni kama GNLD na wengineo, hawa sio Matapeli sema tatizo kubwa ile Model yao ni ngumu sana, ile Model itakufanya uonekane ni utapeli, Zile Kampuni zipo na zinaendelea kuwepo, kinacho shinda watu ni Marketing Model zao ni ngumu mno, kutoboa ni ngumu sana
 
Hakuna hata mmoja wa kuleta ushaidi alivyopiga pesa?...heheheh basi kweli ni utapeli
 
[emoji23][emoji23]na wanawanyoshaa Kweli kweli[emoji23]
 
Daah! Ni hatari hizi mambo toka juz wanafanya bank maintenance [emoji28][emoji28]
 
Sasa mkuu mbona hunijibu na zile monitored days kweny scams za HYips zna maana gani??
Wewe ndio umeipromote SME halafu tena inaonekana haujui na haujafatilia, ulipata peaa kwanza? Tena ukaandika watu wakapige hela. Inasikitisha sana, ungefanya jariboo haya LA elfu kumi tu uone kwanza. Sasa watu wakipoteza hela we unapata nini? Now uko busy kuulizia ulizia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…