Utapeli wa SME-Tanzania na wengine

Utapeli wa SME-Tanzania na wengine

Usiingie kichwa kichwa kwenye vitu usivyovijua uwe unachukua muda wa kufanya utafiti kidogo ndio ujue uingie au uache.
DECI kuna watu walipiga sana hela ila waliokuja kuingia baada ya kusikia watu wanapiga hela ndio wakapigwa na vitu vizito na serkali yeti kama kawaida ikawa inacheka tu.
Sasa mkuu mbona hunijibu na zile monitored days kweny scams za HYips zna maana gani??
 
Ukiona tu system imeanza yaan haina ata week au ata siku 3 haijafika ingia fasta vuna pesa chap alaf usiwe na tamaa ya kuweka tena ndio ujanja unaotumika kwenye HYIPs
Huyu demu alishaniambiaga kwamba hii kitu sio maarufu hpa tz,ngoja nikapooteze pesa huko nimtafute anielekeze
 
Huyu demu alishaniambiaga kwamba hii kitu sio maarufu hpa tz,ngoja nikapooteze pesa huko nimtafute anielekeze
Kwa kuwa ushajua kuwa unaenda kuRISK pesa yako hakuna shida na ndio moja ya utafutaji
 
wale wa makumbusho wenye suti na wanaosalimia GOOD MORNING ata jioni wana product ila hz HYIPs weng wanazirun kwenye office/ magheton kwao na wanatumia tu premiumVPN ili waonekane either wapo UK or nchi yoyote hile ya kuaminisha watu na wanaanza kupiga pesa.
Ni Biashara nzuri sana ukiweza kununua Software na kama una mtaji wa kama 5M tu inatosha kulipia kwenye HYIP MONITORS na kuwaonga kidogo ili waseme PAYING basi wazungu kama wote utawapata.
Hahaha kumbe wazee wa global pale makumbusho kwenye jengo lao la semina kumne unawajua?

Aisee nimecheka sana hapo ulipoandika good morning yani umenikumbusha kitambo sana
 
Sasa mkuu mbona hunijibu na zile monitored days kweny scams za HYips zna maana gani??
Usiziamini sana hzi system mara nying haya makampun wanazionga ili waziandikie mazuri.
Monitored Days ni muda ambao system yao imekuwa ikiifutilia hyo site naweza kusema kwa ufup hvyo.
 
Hahaha kumbe wazee wa global pale makumbusho kwenye jengo lao la semina kumne unawajua?

Aisee nimecheka sana hapo ulipoandika good morning yani umenikumbusha kitambo sana
Hao Good Morning ilisababisha nigombane na Rafiki yang wa karibu sana wa kike aliniambie kuna mchongo wa hela nying sana nikafunga safar kutoka mbeya mpaka dar maana wengne tangu tupo sec pesa ilikuwa damuni na uzuri tulisoma Kariakoo ndio kabisaaa.
Kufika dar nikatulia home kesho yake mapema tu nikapanda Gari kutoka mbezi Luguruni mpaka ubungo na kuchukua bajaji mpaka mikocheni km***ke kufika tu nakaribishwa na Goodmorning na hesabu ,a kuwa Millionaire ikaanza[emoji23][emoji23][emoji23] sikumwambia chochote ila baada ya kutoka nikafuta namba zake siku hyo hyo alikuja kunitafuta mwaka jana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787]Kuna jamaa kadhaa back days, niliwaambia wasijichanganye kwenye Kasite kamoja Kalikua kanaitwa PAMA FUNDS[emoji23][emoji23] Ehh bhana system haionekani na aliweka Boom kama Mbili hivi[emoji1787]
Sicheki kwa mazuri
Panda fund mbna naona website Yao still ipo active
 
Panda fund mbna naona website Yao still ipo active
wamebadili Domain mwanzon ilikuwa dot com sasa hv ni dot online, hzo zote ni njia za kusaka NOTI ukiona wenzetu wanaendesha AUDI na kaz ngumu hawafanyi ujue pesa wanapatia kwenye njia kama hz na zingne nying kwa wajinga waliolala
 
Haeleweki kinoma

1652895319495.jpg
 
Na Ina mda gani toka ianzishwe,na hata SME iko vizur nashangaa jamaa anaikandia kinoma noma ,ni huzuni kinoma
Mm natoa tu tahadhari maana mm ni Risk taker mzur tu nawekaga hela nying tu kwenye platform za online ila baada ya kupitia pitia maandiko kadhaa so kama unaweka ni juu yako ila ukiliwa usianze kulalamika kuwa ONLINE NI UTAPELI tu.
 
Nakubali na kujua platform mpya kabisa nafanyaje?
 
[emoji1787][emoji1787]Kuna jamaa kadhaa back days, niliwaambia wasijichanganye kwenye Kasite kamoja Kalikua kanaitwa PAMA FUNDS[emoji23][emoji23] Ehh bhana system haionekani na aliweka Boom kama Mbili hivi[emoji1787]
Sicheki kwa mazuri
Kweli wajinga huwa hawaishi dah
 
Misimamo yangu ya kizamani huwa inaniokoa sana...

Nipe kazi, nipige kazi kisha unipe mpunga.

Kazi nyingi = mpunga mwingi. Habari za kuniambia eti weka hela ikue au utakuwa unatengeneza mpunga hata ukiwa umelala hiyo nilishaikataa.

Dunia imechange sana, kila mtu anatafuta mpunga yaani ni kama msituni usipowinda utawindwa.
 
Hahaha kumbe wazee wa global pale makumbusho kwenye jengo lao la semina kumne unawajua?

Aisee nimecheka sana hapo ulipoandika good morning yani umenikumbusha kitambo sana
Good morning saa 9 alasiri
 
Back
Top Bottom