Fundi Mgumu
Member
- May 7, 2022
- 92
- 53
Sasa mkuu mbona hunijibu na zile monitored days kweny scams za HYips zna maana gani??Usiingie kichwa kichwa kwenye vitu usivyovijua uwe unachukua muda wa kufanya utafiti kidogo ndio ujue uingie au uache.
DECI kuna watu walipiga sana hela ila waliokuja kuingia baada ya kusikia watu wanapiga hela ndio wakapigwa na vitu vizito na serkali yeti kama kawaida ikawa inacheka tu.