Utapeli wa upatu wa kimtandao ni janga sugu Tanzania, Serikali ina la kujifunza

Uko sahihi ndugu ila BOT Kwa mujibu wao wanadai kuwa wamefungia hiyo kampuni kwasababu BOT haiamini mfumo wa biashara ya upatu lakini pia binafsi mimi naona kama BOT imefungia hiyo kampuni ni busara iwajulishe wananchi wake kama inafungia hiyo na kutoa taarifa ya umma na wananchi wajulishwe watoe pesa zao walizowekeza huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…