Utapia Mlo Wanafunzi shule hizi za bweni, Wizara ya elimu mko wapi?

Utapia Mlo Wanafunzi shule hizi za bweni, Wizara ya elimu mko wapi?

Ambiente Guru

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2012
Posts
2,605
Reaction score
1,085
Nimekerwa na Tabia wa Wakuu wa Mashule kama za Filbati Bei Kibaha na Santa Anna ya kwa Msuguli Jijiji wanavowalishawanafunzi wa boarding chakula chenyelishe duni hadi kufikia kuugua Utapia mlo. Baadhi ya wafanyakazi wa shuke ya MtakatifuAnne wanakiri wanafunzi wanaugua magonywa ya Ufizi yaani Scuvy kwa kukosa Vitamin C.

Nilimtoa mtoto na kumpeleka hospitali ya St Benard jijini ambapo Dralisikitika sana na kushangaa uongozi wa shule kutokuwapa watto lishe muhimu.
Shule ya Fi Bei Mkurugenzi amekuwa akilisha wanafunzimakande na matembele, akisemwa kwenye Mkutano Mkuu wa shule akaishia kuuvunjana kutouitihha tena. She is rallu frugal or mean.
Mbaya ni kwa uongozi wa shule kukataza pocket money au kuzuia wanafunzi kununua hata tunda halisimtaani badala yake wanaweka majuice feki ya rangi dukani.
Najiuliza ni taasisi gani au Wizara ya Elimu kwanini haithibiti shule kama hizi.
 

Attachments

  • scurvy.jpg
    scurvy.jpg
    50.3 KB · Views: 59
Back
Top Bottom