Nimegundua kuwa humu kuna washabiki wengi sana wa siasa, wakereketwa nk.
Je wewe ni kati ya wapi hao? unaweza kujibu uongo au ukweli, japo ukeli hupendeza zaidi, au ukajipa jibu mwenyewe halafu ukajipa maksi kwa jibu lako
JE UTAPIGA KURA?
Mie nitapiga kitambulisha ninacho, muda nimetenga, nimecheki jina lipo, je wewe?