Elections 2010 utapiga kura 2010?

Elections 2010 utapiga kura 2010?

Haika

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2008
Posts
2,347
Reaction score
562
Nimegundua kuwa humu kuna washabiki wengi sana wa siasa, wakereketwa nk.
Je wewe ni kati ya wapi hao? unaweza kujibu uongo au ukweli, japo ukeli hupendeza zaidi, au ukajipa jibu mwenyewe halafu ukajipa maksi kwa jibu lako

JE UTAPIGA KURA?

Mie nitapiga kitambulisha ninacho, muda nimetenga, nimecheki jina lipo, je wewe?
 
Haika,

Watu wakishajibu utatoa matokeo? Utapima vipi wanaJF wameonyesha nia yao ya kujitokeza kupiga kura!

Nashauri anzisha poll ambazo zitawahusu wote wanaotemebela humu, hapo itakuwa swa!!

Ciao
 
thks lakini ukweli wa mtu aujua mwenyewe, hata poll huwa hazina ukweli sana, kila mtu ajiexamine na kujigrade mwenyewe
 
si usome hapo juu? nimeandika sababu, au nibadili lugha niweke kiinglishi?
 
Back
Top Bottom