Utapoteza marafiki wengi wa faida kwasababu ya kutaka kuwa nao kwenye mahusiano ya kimapenzi

Safi kabisa,naunga mkono
 
Marafiki wengi wa kike Mkia wa fisi,wanakufilisi Chap waungwana ni wachache sana ukipata muungwana ishi naye kwa mtindo huo
 
Mtoa mada umeongea kinyume.Ukilala na mwanamke panakua na hatari ya ukaribu kuongezeka - sio kupungua..labda mgombane..ndo maana maofisini hawataki either mtapeana favours au mkigombana mtaleta shija.
Sijawahi gombana hata mara moja na watu niliokutana nao kwenye ujana wenyewe huko...wengine tunapigiana simu, tunacheka, tunaongea kuhusu maisha - hakuna magomvi watu wana maisha yao kila mtu kwa kiasi chake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…