Utaratabu wa kuagiza gari kutoka Japan

Utaratabu wa kuagiza gari kutoka Japan

Green Beret

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2022
Posts
631
Reaction score
991
Habari wakuu. Ninahitaji kuagiza gari nimejaribu kufuatilia mtandaoni nimeona kuna kampuni tofauti kama beforward, sbi nk.

Napata changamoto maana nikiangalia bei zao ziko poa ila ukiangalia kampuni za tz instagram inakuwa mara mbili yake!

Naomba ushauri kuhusu hizi kampuni,
1. kuhusu gharama zake kama ni za kweli
2. je hio gharama ukikabidhiwa gari linakua na usajili tayari au vipi?
3. Inachukua muda gani gari kufika tz

Shukran.
 
Ingia Google: andika jinsi ya kuagiza gari online- jamiiforum

Utapata thread nyingi Sana khs hilo
 
Back
Top Bottom