Nyalotsi
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 6,986
- 5,058
Msaada ndugu zangu. Ndugu yangu kapatwa na matatizo ya kikazi, wanataka kumfungia mshahara hivyo kaamua kuahirisha chuo ili atimize masharti ya ajira yake.
Jamaa wamekomaa kwamba arudi kazini. Je, ni taratibu zipi za kupitia?
Asanteni kwa msaada nitakaoupata
Jamaa wamekomaa kwamba arudi kazini. Je, ni taratibu zipi za kupitia?
Asanteni kwa msaada nitakaoupata