Utaratibu huu wa Kiustaarabu na Kinidhamu wa 'Kujamba' kwa Wazungu hasa Mikutanoni ( Vikaoni ) nimeuona peke yangu tu au?

Utaratibu huu wa Kiustaarabu na Kinidhamu wa 'Kujamba' kwa Wazungu hasa Mikutanoni ( Vikaoni ) nimeuona peke yangu tu au?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Ni kwanini Mzungu akiona anataka 'Kujamba' hasa mkiwa katika Kikao katika hali ya 'Kiustaarabu' kabisa ataomba 'ruhusa' ya kutoka nje ili 'asiwakere' lakini kwa Mwafrika ( hasa hasa Mswahili ) Yeye humo humo Mkutanoni ( Kikaoni ) atauchia 'Mjambo' ili 'mkereke' nao na muanze Kutafutana Uchawi hadi Kusababisha 'Usumbufu' wa Kikao kuendelea ili 'Kuupisha' Ushuzi uliotukuka?

Kuna Mzungu Mmoja amenipa sababu ya Wao kuwa na huu 'Ustaarabu' ila nataka wale JF Members mliopo huko Kwao Ulaya / Majuu mthibitishe.
 
Huwajui Wazungu wewe. Wanajamba popote. Niliwahi kumpa lift Mzungu mwanamama. Alijamba,,, Yaani kama ameoza utumbo vile. Na kwenye matreni yao haya ya chini ya ardhi, wanajamba kama vile sphincter zimekwishavunjika. Tena unakuta watu wamebanana kweli, lakini wanaachia maushuzi kwa kupokezana tu. Labda Wazungu wewe huwa unawaona kwenye TV tu.
 
Binafsi ndio kwanza nikusikie wewe. Maana mimi naona huwa wanajiachia tu, tena sio ule wa silence, anauacha free utoke. Wazumngu kujamba hata hadharani sio ishu kabisa kwao, ila piga mbweo, ndio wanaona kinyaa.
 
Na kupenga kamasi kwenye meza ya chakula! Hawajali kabisa...

Kabisaaa.... Kuna mmoja nlikaa nae meza ya kula anakohoa wala haeki mkono na hana ata kisisi kama huenda nikarusha mate kwenye chakula cha mwenzangu. Hata kipindi cha corona anakohoa tu mbele yako uku anakutizama bila kuficha mdomo. Likija suala la ustaarabu sekta ya usafi, hawa hamna kitu
 
Sometimes huku hata siyo kujamba, unakuta ni viatu ndiyo vinatema...

Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom