GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ni kwanini Mzungu akiona anataka 'Kujamba' hasa mkiwa katika Kikao katika hali ya 'Kiustaarabu' kabisa ataomba 'ruhusa' ya kutoka nje ili 'asiwakere' lakini kwa Mwafrika ( hasa hasa Mswahili ) Yeye humo humo Mkutanoni ( Kikaoni ) atauchia 'Mjambo' ili 'mkereke' nao na muanze Kutafutana Uchawi hadi Kusababisha 'Usumbufu' wa Kikao kuendelea ili 'Kuupisha' Ushuzi uliotukuka?
Kuna Mzungu Mmoja amenipa sababu ya Wao kuwa na huu 'Ustaarabu' ila nataka wale JF Members mliopo huko Kwao Ulaya / Majuu mthibitishe.
Kuna Mzungu Mmoja amenipa sababu ya Wao kuwa na huu 'Ustaarabu' ila nataka wale JF Members mliopo huko Kwao Ulaya / Majuu mthibitishe.