GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Binafsi ndio kwanza nikusikie wewe. Maana mimi naona huwa wanajiachia tu, tena sio ule wa silence, anauacha free utoke. Wazumngu kujamba hata hadharani sio ishu kabisa kwao, ila piga mbweo, ndio wanaona kinyaa.
Kabisaaa.... Kuna mmoja nlikaa nae meza ya kula anakohoa wala haeki mkono na hana ata kisisi kama huenda nikarusha mate kwenye chakula cha mwenzangu. Hata kipindi cha corona anakohoa tu mbele yako uku anakutizama bila kuficha mdomo. Likija suala la ustaarabu sekta ya usafi, hawa hamna kituNa kupenga kamasi kwenye meza ya chakula! Hawajali kabisa...