Habari wakuu,
Rejea kichwa cha habari hapo juu, kuna wanafunzi walipata multiple selection na ikadhaniwa kwa namna moja ama nyingine ili kupata chuo ambacho hawajakua allocated katika vyuo walivyopata, wangetakiwa kujaza transfer form. Nilichoona ni mwanafunzi unatakiwa uwajulishe chuo unachotaka kwenda na chuo ndo kinapeleka majina TCU kuwajulisha wanafunzi husika wameamua kwenda kwao badala ya chuo walichukua allocated. Mfano ni taarifa hapa chini.
Mmmmmmh mm cjui nilielewa tofauti au ww kingereza ndo tatizooooo mbna kama wamesema chuo walicho oneshwa hapo ndo wanatakiwa kureport huko na kama watapata mkopo utawafuata huko huko waliko pangiwa ww mwenzetu ume elewa vipiiiiii sijui lakini ngoja wengine wajeeee ila naona ww kama kingereza kwako kilikuwa utata
NB: Applicants should note that the institution where they are allocated are the once they are supposed to report. For those who have applied for student loan if they are granted then their loan will be channelled through the same institution. If an applicant prefer to go to different institution, they are supposed to follow TCU transfer procedures which is availlable on TCU website
Sas hapo tatizo lipo wapi mkuu
Mkuu transfer inayoongelewa hapo ni ya kujaza fomu zilizotolewa na kuipeleka TCU. Utaratibu sio huo tena na sasa wanapeleka taarifa chuoni kwa simu/barua then chuo ndio wanaopeleka taarifa TCU badala ya mwanafunzi kupeleka moja kwa moja