Majs
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 232
- 516
Habari wakuu,
Rejea kichwa cha habari hapo juu, kuna wanafunzi walipata multiple selection na ikadhaniwa kwa namna moja ama nyingine ili kupata chuo ambacho hawajakua allocated katika vyuo walivyopata, wangetakiwa kujaza transfer form. Nilichoona ni mwanafunzi unatakiwa uwajulishe chuo unachotaka kwenda na chuo ndo kinapeleka majina TCU kuwajulisha wanafunzi husika wameamua kwenda kwao badala ya chuo walichukua allocated. Mfano ni taarifa hapa chini.