Utaratibu mbovu wa kushurutisha ulipaji wa ada wanafunzi wa Chuo cha Maafisa Tabibu Kibondo siyo mzuri kwa familia maskini

Utaratibu mbovu wa kushurutisha ulipaji wa ada wanafunzi wa Chuo cha Maafisa Tabibu Kibondo siyo mzuri kwa familia maskini

Kuwa confident na unachozungumza na uwe nauhakika nacho sababu ukiamua kushare thread weka tu jinalako officially sababu sometimes ukiamua kuandika huku kwenye social forums sisi watoto wakimaskini tuonaosoma pale unakuwa umetusababishia taabu,Sababu unachochea mtu ambaye hajalipa ada ionekane kuwa involved kwenye hizi idiot contents sababu kihoja kabisa hakuna ambaye atakua amelipa ada katika chuo hicho ambaye anaweza kufanya ujinga wakuandika upuuzi huu,,,Uliyefanya haya lazima tuu matokeo mabovu ya content yako yatoenekana kwa watoto hao wakimaskin,,ULAANIWEEEE

AugustusCaesar
 
Kichwa cha habari kisichokuwa na maudhui... huu ni uzushi au kukomoana? 😳
 
Hajaandika content lakini wacha tutembee na heading.

Braza unataka upatiwe huduma ya elimu bure. Nani unataka akulipie?

Je mfumo unaohisi utakuwa ragiki kwa hao maskini ni upi? Na je ni endelevu?

Halafu hii kujiona muathirika, na mumaskini hatutakiwi kuichekea. Umasikini sio sifa
 
Back
Top Bottom