comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Chama Cha Mashetani ndipo walipotufikisha hapa.Huko TRA,TANESCO na ofisi nyingne za serikali utaratibu unatakiwa ufuatwe na maskini tuu au walio nnje ya mfumo.
Walio ndani ya mfumo ni meseji tuu isiozidi maneno 10 MAMBO YANANYOOSHWA KAMA MHUSIKA ANAVYOTAKA.
Sasa hivi utaratibu umewekwa mgumu na kufuata vigezo vyote maana si mmekua watukutu mnaandamana?? ILA NI KWENU TUU SI KWAOChama Cha Mashetani ndipo walipotufikisha hapa.
Mifumo ya huduma imevurugika kabisa.
Hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho.Sasa hivi utaratibu umewekwa mgumu na kufuata vigezo vyote maana si mmekua watukutu mnaandamana?? ILA NI KWENU TUU SI KWAO
🤣🤣🤣🤣Hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho.
Hipo siku wajue hawatoweza tena kuleta upumvavu wao wanaoufanya sasa.
Undugu ujamaa urafiki pesa na rushwa ya ngono ndio kipaumbele cha mifumo ya CCM.
Ama hakika mboga mboga nawamaindi kichiziHakuna lenye mwanzo likakosa mwisho.
Hipo siku wajue hawatoweza tena kuleta upumvavu wao wanaoufanya sasa.
Undugu ujamaa urafiki pesa na rushwa ya ngono ndio kipaumbele cha mifumo ya CCM.
Hawa mboga mboga nchi imeshawashinda wamebaki kutawala kwa mabavu kupitia jeshi na polisi.Ama hakika mboga mboga nawamaindi kichizi